GET /api/v0.1/hansard/entries/322370/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 322370,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/322370/?format=api",
    "text_counter": 125,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Twaha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 145,
        "legal_name": "Yasin Fahim Twaha",
        "slug": "yasin-twaha"
    },
    "content": "Mhe. S. Abdalla ameenda sehemu ya Witu, Lamu ambapo jana askari wa GSU waliingia kwa mji wakaanza kupiga watu. Ameenda kushughulikia wale waliopigwa. Hawajui kwa nini watu wanapigwa katika Wilaya ya Lamu na vita viko Tana River. Aliomba Swali hili liahirishwe."
}