GET /api/v0.1/hansard/entries/322376/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 322376,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/322376/?format=api",
"text_counter": 131,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Nuh",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 114,
"legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
"slug": "nuh-abdi"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda naomba kumuuliza Waziri wa Maji na Unyunyizaji:- (a) Je, Waziri ana habari ya kwamba maji ya Bwawa la Bangale ambayo ndio njia pekee ya maji kwa wakaazi wa Bangale imeharibika? (b) Je, Waziri ana habari zaidi kuwa kuna uwezekano wa kuzuka maradhi kutokana na matumizi ya maji haya? (c) Ni hatua gani Waziri amechukua ili kuepusha wenyeji kwa hatari hiyo?"
}