GET /api/v0.1/hansard/entries/322378/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 322378,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/322378/?format=api",
    "text_counter": 133,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Nuh",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 114,
        "legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
        "slug": "nuh-abdi"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, hili ni Swali la dharura na lilikuwa katika ratiba wiki tatu zilizopita. Hii ni mara ya tatu kwa Swali hili kuahirishwa. Waziri Msaidizi akisema kwamba atajibu Swali hili siku ya Alhamisi, anajua ya kwamba Wizara yake inafaa kujibu Swali lingine la dharura Alhamisi hiyo? Ningeuliza Waziri Msaidizi - sidhani kama yuko mafichoni - ajaribu kutafuta jibu kama inawezekana kabla ya Maswali ya siku ya leo kujibiwa yote."
}