GET /api/v0.1/hansard/entries/322400/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 322400,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/322400/?format=api",
    "text_counter": 155,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Twaha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 145,
        "legal_name": "Yasin Fahim Twaha",
        "slug": "yasin-twaha"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, jana usiku askari wa GSU waliingia kijiji cha Witu ndani ya Lamu County wakaanza kuwapiga watu, kuvunja nyumba na kukosea wamama heshima na huku vita viko Tana River. Hawa askari wameenda Lamu kufanya nini? Unaweza kuwapatia amri watoke kule waende kule vita viko ili waache kuwapiga peace loving people?"
}