GET /api/v0.1/hansard/entries/323851/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 323851,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/323851/?format=api",
"text_counter": 137,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Ni muhimu kusema ukweli katika Bunge hili. Nilitoka Samburu North jana na nilikuwa huko wiki nzima wakati shule zilikuwa zimefungwa. Hatukusikia kuwa hizi towels zimefika. Je, hizi towels zilepelekwa huko lini ili niende kufuata jambo hilo?"
}