GET /api/v0.1/hansard/entries/323852/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 323852,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/323852/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Leshomo, mhe Waziri Msaidizi amejibu swali hilo tayari. Amesema kwamba ana ratiba ambayo inaonyesha shule ambazo zimepewa hizo towels ama vifaa kule Samburu. Kwa hivyo mfuate na kama hutaridhika, utatueleza tena. Kwa wakati huu hatuwezi kusukumana ili kujua ni nani anayesema ukweli na ni nani hasemi"
}