GET /api/v0.1/hansard/entries/325859/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 325859,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/325859/?format=api",
    "text_counter": 13,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "(Dr. Nuh)",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 114,
        "legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
        "slug": "nuh-abdi"
    },
    "content": "to ask the Minister for Water and Irrigation:- (a) Je, Waziri ana habari ya kwamba maji ya Bwawa la Bangale ambayo ndiyo njia pekee ya maji kwa wakazi wa Bangale imeharibika? (b) Je, Waziri ana habari zaidi kuwa kuna uwezekano wa kuzuka maradhi kutokana na matumizi ya maji hayo? (c) Ni hatua gani Waziri amechukua ili kuepushia wenyeji hatari hiyo?"
}