GET /api/v0.1/hansard/entries/32588/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 32588,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32588/?format=api",
    "text_counter": 228,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwatela",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Education",
    "speaker": {
        "id": 103,
        "legal_name": "Andrew Calist Mwatela",
        "slug": "andrew-mwatela"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika, kwanza ningependa kuomba msamaha kwa kuja kama nimechelewa wakati Swali hili lilipoulizwa mara ya kwanza. Nilichelewa nikishughulikia jawabu lake. Hata hivyo, afisa aliyepewa jukumu la kulishughulikia swali hili alipatwa na jambo la dharura. Kwa heshima, ninaomba Bunge hili kunipa nafasi hadi kesho niweze kujibu Swali hili."
}