GET /api/v0.1/hansard/entries/32589/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 32589,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32589/?format=api",
"text_counter": 229,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. K. Kilonzo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 172,
"legal_name": "Julius Kiema Kilonzo",
"slug": "kiema-kilonzo"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Waziri Msaidizi amesema kwamba hangeweza kujibu Swali hili mara ya kwanza lilipoulizwa kwa sababu alikuwa akiwasiliana na ofisi kuhusu atakayelijibu. Aliyepatiwa majibu hangeweza kufika hapa. Bw. Waziri Msaidizi, ulipowasiliana na ofisi yako, hawakukupatia jawabu ili umjibu huyu Mbunge maanake sisi Wakenya tunataka majibu?"
}