GET /api/v0.1/hansard/entries/32590/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 32590,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32590/?format=api",
    "text_counter": 230,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwatela",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Education",
    "speaker": {
        "id": 103,
        "legal_name": "Andrew Calist Mwatela",
        "slug": "andrew-mwatela"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika, mhe. K. Kilonzo hakunielewa vizuri. Nimesema nilichelewa kwa sababu nilikuwa najaribu kutafuta jibu la swali hili kwa sababu aliyekuwa amepewa jukumu la kuandaa jibu hili ndiye tulikuwa tunamtafuta wakati huo."
}