GET /api/v0.1/hansard/entries/32591/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 32591,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32591/?format=api",
"text_counter": 231,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Waziri Msaidizi, hili ni Swali la kawaida. Bila shaka, Swali hili limekuwa katika Wizara yako zaidi ya wiki tatu ama nne hivi. Imekuaje sasa mnakuwa na pilka pilka na haraka haraka za kutafuta majibu dakika ya mwisho?"
}