GET /api/v0.1/hansard/entries/32592/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 32592,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32592/?format=api",
"text_counter": 232,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwatela",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Education",
"speaker": {
"id": 103,
"legal_name": "Andrew Calist Mwatela",
"slug": "andrew-mwatela"
},
"content": " Bw. Naibu Spika, nakubali kabisa kwamba tumekuwa na Swali hili kwa muda wa kutosha. Tumekuwa na jibu sawa sawa lakini unajua katika Wizara, tukishampatia afisa kazi, leo hii asubuhi ama jana jioni angekuwa ameniletea jibu hilo. Nimesema kwamba afisa ambaye alikuwa anashughulikia Swali hili amepatwa na jambo la dharurai. Tafadhali, naomba msamaha."
}