GET /api/v0.1/hansard/entries/32605/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 32605,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32605/?format=api",
    "text_counter": 245,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kinyanjui",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Roads",
    "speaker": {
        "id": 48,
        "legal_name": "Lee Maiyani Kinyanjui",
        "slug": "lee-kinyanjui"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika, ningetaka kusema kwamba kama vile Mr. K. Kilonzo amesema, alikuja kama amechelewa. Ni kweli jibu lilikuweko lakini mwenyewe amesema kwamba amekuja kama amechelewa. Hata hivyo, amekuja upande huu na nikamwonyesha jawabu ana akaridhika. Lakini, hata hivyo, nakubalina na wewe."
}