GET /api/v0.1/hansard/entries/32627/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 32627,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32627/?format=api",
    "text_counter": 267,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Joho",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 30,
        "legal_name": "Hassan Ali Joho",
        "slug": "hassan-joho"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, baada ya kutadhmini kwa kina jawabu la Waziri Msaidizi, ningependa kumuuliza, ni mikakati gani imewekwa kuhakikisha kwamba watoto hawa walio Wakenya hawaondolewi tu barabarani na kuwekwa vituoni, bali ni kuwawekwa mikakati kabambe ya kimaisha ili wakitoka katika vituo hivyo wawe wamejipanga kimaisha na kujimudu kama Wakenya wengine?"
}