GET /api/v0.1/hansard/entries/328818/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 328818,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/328818/?format=api",
"text_counter": 74,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Nuh",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 114,
"legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
"slug": "nuh-abdi"
},
"content": "Bi Naibu Spika wa Muda, katika jibu nililopewa na Waziri, linasema ya kwamba Wizara imeanzisha mikakati kabambe ya kupata maji ya kudumu kupitia bomba la maji kutoka Madogo na mradi huu utagharimu Kshs534 million. Jibu linasema kwamba ujenzi wa bomba hili utaanza mwaka huu wa kipindi cha matumizi ya pesa na unatarajiwa kukamilika baada ya miaka miwili. Swali kwa Waziri ni kwamba ; wametenga shilingi ngapi katika kipindi cha matumizi ya mwaka huu kuweza kuanzisha mradi huu wanaosema?"
}