GET /api/v0.1/hansard/entries/328819/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 328819,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/328819/?format=api",
"text_counter": 75,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mrs. Ngilu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 111,
"legal_name": "Charity Kaluki Ngilu",
"slug": "charity-ngilu"
},
"content": "Bi Naibu Spika wa Muda, pesa zile ambazo tumetenga ni za kuwasaidia wananchi kwa madawa. Lakini mwaka ujao tuna mradi mkubwa ambao tutatumia kiasi cha Kshs534 million kufanya kilomita karibu 78 ambazo ndizo zitawezesha kuwapatia wananchi maji. Tumejaribu sana kuwasaidia wananchi ambao wanakaa huko lakini mpaka sasa hatujaweza kupata maji masafi hata tukijenga kisima. Kwa hivyo, tutatumia ile pesa tuliyonayo kwa sasa kutengeneza huu mradi mkubwa ambao utaleta maji kutoka mto unaoitwa Muororo. Hapo ndipo tunaweza kuwasaidia wananchi wa upande huo."
}