GET /api/v0.1/hansard/entries/32882/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 32882,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32882/?format=api",
"text_counter": 128,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Bwana Naibu Spika wa Muda, ningependa kumuuliza Minister mambo ya polytechnics. Kuna sehemu ambazo zina shida ya polytechnics kama vile Samburu. Sehemu hii ina shida ya polytechnics kwa sababu makanisa yamechukua vituo hivyo. Sijui wako na mpango gani kuhusu sehemu kama hizo. Pia ningepeda kuuliza swali kuhusu wachungaji misituni. Ningependa kujua Waziri ako na mipango gani kuwahusu."
}