GET /api/v0.1/hansard/entries/328823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 328823,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/328823/?format=api",
    "text_counter": 79,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mrs. Ngilu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 111,
        "legal_name": "Charity Kaluki Ngilu",
        "slug": "charity-ngilu"
    },
    "content": "Bi Naibu Spika wa Muda, ni kweli ya kwamba Wakenya wengi wako na madhara kwa sababu ya kutumia maji ambayo sio masafi. Hii ni kwa sababu pesa ambayo tunapata ili tuwapatie wananchi maji masafi haitoshi. Kwa hivyo, tutaendelea tu kuuliza pesa kutoka kwa Wizara ya Fedha ili watuongezee pesa kwa bajeti ili tuendelee kuwapatia wananchi maji. Mpaka sasa tuna wananchi karibu millioni 16.4 ambao hawatumii maji masafi kwa nchi yetu ya Kenya."
}