GET /api/v0.1/hansard/entries/328835/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 328835,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/328835/?format=api",
"text_counter": 91,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mrs. Ngilu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 111,
"legal_name": "Charity Kaluki Ngilu",
"slug": "charity-ngilu"
},
"content": "Bi Naibu Spika wa Muda, ni kweli jibu langu linasema tumetenga pesa za mradi huu katika Bajeti ya mwaka huu. Lakini pesa hizi hazipo katika Bajeti yetu ya mwaka huu. Pengine hatujapata pesa hizi kutoka kwa wafadhili wetu. Sitaki kumwaahidi mhe. Mbunge kuwa mradi huu utakamilika mwaka huu kwa sababu hatuna pesa za kutosha. Ningependa kumuomba asubiri hadi tutakapopata pesa ili tuweze kukamilisha mradi huu."
}