GET /api/v0.1/hansard/entries/329060/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 329060,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/329060/?format=api",
    "text_counter": 316,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mrs. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Asante sana, Bi Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuuliza Waziri Msaidizi swali kuhusu kitambulisho na birth certificates ambalo tumeuliza kwa Bunge hili kwa muda mrefu. Angechukua jukumu kutembea ili alete ripoti kamili kwa sababu kuna shida kubwa katika maeneo mengi ya Bunge."
}