GET /api/v0.1/hansard/entries/329061/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 329061,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/329061/?format=api",
"text_counter": 317,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Baya",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 10,
"legal_name": "Francis S. K. Baya",
"slug": "francis-baya"
},
"content": "Bi Naibu Spika wa Muda, ni kweli ya kwamba swala la vitambulisho limekuwa swala gumu sana kwa Wakenya. Lakini ningetaka kuwaelezea Wabunge wenzangu ya kwamba, pahali ambapo unaona pamekuwa pagumu na ungetaka tutembelee sehemu hiyo, hata kama ni juma lijalo, mimi nitaandamana nawe."
}