GET /api/v0.1/hansard/entries/329909/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 329909,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/329909/?format=api",
"text_counter": 72,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Nuh",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 114,
"legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
"slug": "nuh-abdi"
},
"content": "alimuuliza Waziri wa Maji na Unyunyizaji:- (a) kama ana habari ya kwamba maji ya bwawa la Bangale ambayo ndiyo njia pekee ya maji kwa wakazi wa Bangale imeharibika; (b) kama ana habari zaidi kuwa kuna uwezekano wa kuzuka maradhi kutokana na matumizi ya maji haya; na, (c) ni hatua gani amechukua ili kuepusha wenyeji kwa hatari hiyo."
}