GET /api/v0.1/hansard/entries/329910/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 329910,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/329910/?format=api",
"text_counter": 73,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mrs. Ngilu",
"speaker_title": "The Minister for Water and Irrigation",
"speaker": {
"id": 111,
"legal_name": "Charity Kaluki Ngilu",
"slug": "charity-ngilu"
},
"content": " Bi Naibu Spika wa Muda, naomba kujibu. (a) Ni kweli maji ya bwawa la Bangale yameharibika. (b) Ninafahamu kwamba madhara yanaweza kupatikana kutokana na matumizi ya maji haya. (c) Wizara yangu ikishirikiana na washika dau wote inawaadhimisha wakaazi wote wa eneo la Bangale juu ya matumizi ya dawa ya kutibu maji aina ya pur iwezayo kusafisha na kutibu viini katika maji. Tayari wizara imepeleka katoni 60 ambazo zina jumla ya paketi 14,400 ambazo zinaweza kutumika kwa muda wa mwezi mmoja."
}