GET /api/v0.1/hansard/entries/329913/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 329913,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/329913/?format=api",
"text_counter": 76,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Nuh",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 114,
"legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
"slug": "nuh-abdi"
},
"content": "Hoja ya nidhamu, Bi Naibu Spika wa Muda. Niliuliza swali kwa sababu jibu nililopewa na Waziri linasema kwamba mradi huu utaanza katika kipindi cha matumizi ya mwaka huu wa Serikali. Waziri sasa anasema kwamba jibu alilonipa sio sahihi. Waziri anaweza kuwaeleza wananchi na Bunge ni kiasi gani cha pesa wametenga kuanzisha mradi huu katika kipindi cha matumizi ya mwaka huu?"
}