GET /api/v0.1/hansard/entries/329914/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 329914,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/329914/?format=api",
"text_counter": 77,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mrs. Ngilu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 111,
"legal_name": "Charity Kaluki Ngilu",
"slug": "charity-ngilu"
},
"content": "Bi Naibu Spika wa Muda, kwa mwaka huu pesa zile ambazo ziko kwa huu mradi ni za kufanya uhandisi. Wahandisi wote wameanza kazi yao ya kufanya uhandisi. Kwa hivyo, wakimaliza hiyo kazi ya uhandisi ndio kazi itaanza."
}