GET /api/v0.1/hansard/entries/329915/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 329915,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/329915/?format=api",
    "text_counter": 78,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "9 Thursday, 11th October, 2012(P) Mr. Ochieng",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mimi ningependa kujua ni mikakati gani ambayo Serikali kupitia Wizara ya Maji na Unyunyizaji imeweka ya kuona ya kwamba Wakenya watapata maji masafi ya kunywa, kuoga na ya matumizi mbalimbali nyumbani. Utafiti uliofanywa karibuni na watu wengine waliotoka ng’ambo, walipata kwamba kuna madhara juu ya asilimia 70 ambayo yanaletwa kupitia maji. Serikali itafanya nini ili kuona ya kwamba Wakenya wamepata maji masafi na ni mwaka gani ambao haya matarajio yataafikiwa na Serikali?"
}