GET /api/v0.1/hansard/entries/329920/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 329920,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/329920/?format=api",
    "text_counter": 83,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mrs. Ngilu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 111,
        "legal_name": "Charity Kaluki Ngilu",
        "slug": "charity-ngilu"
    },
    "content": "Bi Naibu Spika wa Muda, ni kweli ya kwamba wakati mwingine tukipata maji kutoka kwa kisima unapata kwamba yako na chumvi au sio masafi sana. Tuko na chemist zetu ambazo zinafanya kazi hiyo na tukikuta maji sio masafi tunasema wananchi wasiyatumie. Lakini wakati mwingine tunakuta wananchi wanatumia maji hayo kwa sababu hawana maji mengine ya kutumia. Lakini sisi---"
}