GET /api/v0.1/hansard/entries/330162/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 330162,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/330162/?format=api",
"text_counter": 325,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Warugongo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 150,
"legal_name": "Nemesius Warugongo",
"slug": "nemesius-warugongo"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Shida ya kupata vitambulisho siyo ya Cherangany peke yake lakini imeikumba Kenya nzima, hasa Kieni. Hakuna mtu ambaye hajui eti mwaka ujao kutakuwa na uchaguzi. Vijana wetu wameenda na kupeleka maombi ya vitambulisho na wamepewa stakabadhi ambazo zitawafanya wangojee mpaka kitambulisho kitakapotokea. Lakini kwa sababu uchaguzi huenda ukafika bila vitambulisho, tungemtaka Bw. Waziri Msaidizi atuambie kama anaweza kuamuru vijana hawa kujiandikisha na kupiga kura kutumia stakabadhi hizo kwa sababu ziko na nambari ya kitambulisho."
}