GET /api/v0.1/hansard/entries/330163/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 330163,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/330163/?format=api",
    "text_counter": 326,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Baya",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 10,
        "legal_name": "Francis S. K. Baya",
        "slug": "francis-baya"
    },
    "content": "Bw, Spika, swala la kupiga kura halihusu Wizara yetu peke yake. Pia, ni swala ambalo linahitaji yule anayepiga kura ajulikane kwamba ni yeye kweli ama si yeye. Kwa hivyo, sitaweza kuwahakikishia kwamba nitawaruhusu watu ambao wana zile stakabadhi kupiga kura. Nafikiri tutakuwa tunafanya makosa."
}