GET /api/v0.1/hansard/entries/3315/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 3315,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/3315/?format=api",
    "text_counter": 160,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Joho",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 30,
        "legal_name": "Hassan Ali Joho",
        "slug": "hassan-joho"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Je, Bw. Waziri ana habari kuwa Serikali yake ambayo inawanyima watu leseni za kufanya biashara ya uchukuzi wa umma wa magari madogo yanayobeba abiria 14, inachukua ushuru magari haya yanapoingia humu nchini kupitia Bandari ya Mombasa? Serikali hii inapokea ushuru kwa mkono wa kulia na kuwanyima leseni wanabiashara hawa kwa mkono wa kushoto. Je, ni haki kufanya hivyo?"
}