GET /api/v0.1/hansard/entries/33186/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 33186,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/33186/?format=api",
"text_counter": 432,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Namwamba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 108,
"legal_name": "Ababu Tawfiq Pius Namwamba",
"slug": "ababu-namwamba"
},
"content": "Kwa hivyo, changamoto zile ambazo tunashuhudia katika safari hii ya kutekeleza Katiba mpya si changamoti ngeni. Ni changamoto ambazo mataifa yote ambayo yamejaribu kubadilisha misingi ya taifa jinsi ambavyo tunjaribu hapa yamekumbana nayo."
}