GET /api/v0.1/hansard/entries/33187/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 33187,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/33187/?format=api",
    "text_counter": 433,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Namwamba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 108,
        "legal_name": "Ababu Tawfiq Pius Namwamba",
        "slug": "ababu-namwamba"
    },
    "content": "Vile vile, nataka kumshukuru dada yangu, Mhe Naomi Shaban, kwa mchango wake, na hasa kwa kuwaahamasisha Wabunge kuhusu sheria hii ya Tume ya Haki, na vile vile sheria ile inayohusu tume ya kusimamia maswala ya jinsia na usawa. Tumekuwa kule Pwani wikendi iliyopita ambapo tulipata fursa ya kushughlikia sheria hizi mbili katika kongamano hilo; naamini limechangia sana kuwaahamasisha Wabunge na kutuweka katika hali bora kabisa kuchangia Mswada huu."
}