GET /api/v0.1/hansard/entries/33203/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 33203,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/33203/?format=api",
"text_counter": 449,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bura Irrigation Scheme inatoa chakula tani 7,000. Historia iliyotolewa katika runinga hiyo inasema kwamba, bali na kuwa kwamba chakula hicho kinalimwa hapo tukitumia pesa za umma, NCPB haijaonyesha dalili ya kununua hata tani moja ya chakula hicho. Chakula hiki kimeonyeshwa kikioza kwa barabara huku tukiwa na wasomi na wasimamizi wa maghala hayo. Chakula kinaoza na huku tunaanza kutafuta mahindi"
}