GET /api/v0.1/hansard/entries/33210/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 33210,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/33210/?format=api",
    "text_counter": 456,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Baiya",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 8,
        "legal_name": "Peter Njoroge Baiya",
        "slug": "peter-baiya"
    },
    "content": "Asante Bw. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia muda na mimi pia niungane na Wabunge wenzangu kuchangia Mswada huu. Kwanza, ningetaka kutoa shukrani kwa Waziri anayehusika kwa kuleta huu Mswada muhimu ambao unalenga kulainisha sheria kuambatana na Katiba mpya."
}