GET /api/v0.1/hansard/entries/333721/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 333721,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/333721/?format=api",
    "text_counter": 229,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika! Kabla ya Bunge hili kwenda kwa likizo iliyopita, niliomba Taarifa kutoka kwa Waziri wa Haki, Uwiano na Sheria. Majuma mawili yamepita na Taarifa hiyo haijatolewa. Taarifa hiyo ilifaa kutolewa leo na simwoni Waziri huyo."
}