GET /api/v0.1/hansard/entries/333725/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 333725,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/333725/?format=api",
"text_counter": 233,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Ethuro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 158,
"legal_name": "Ekwee David Ethuro",
"slug": "ekwee-ethuro"
},
"content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika. Sikuwa nakusudia kujibishana na Naibu wa Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni, lakini ulimsikia hapo awali nilipomwuliza swali alisema Serikali iko tayari na wewe ukasisitiza jambo hilo. Saa hii Naibu wa Kiranja Mkuu Bungeni kwa upande wa Serikali mwenyewe analalamika vile sisi tunalalamika katika upande huu. Kwa hivyo, inaonekana Naibu wa Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni alikuwa amelaghai Bunge. Je, hiyo ni nidhamu kweli?"
}