GET /api/v0.1/hansard/entries/333732/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 333732,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/333732/?format=api",
    "text_counter": 240,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Chanzu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 11,
        "legal_name": "Yusuf Kifuma Chanzu",
        "slug": "yusuf-chanzu"
    },
    "content": "Hoja ya Nidhamu, Bw. Naibu Spika. Mheshimiwa amesema kwamba yeye ni Mjaluo na kwa hivyo hawezi kuongea Kiswahili vizuri, ilhali Maranda Secondary School ambayo iko kati kati ya Ujaluoni iliongoza kwa mtihani wa Kiswahili katika Kenya nzima. Je, ni haki mheshimiwa kueleza Bunge hivyo?"
}