GET /api/v0.1/hansard/entries/333733/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 333733,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/333733/?format=api",
"text_counter": 241,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nidhamu! Mhe. Midiwo, hiyo ni kukiuka nidhamu ya Bunge. Shule ya Upili ya Maranda ambayo iko katika Mkoa wa Nyanza iliongoza katika Mtihani wa Kiswahili katika nchi nzima ilhali unasema kwamba watu kutoka huko hawaongei Kiswahili."
}