GET /api/v0.1/hansard/entries/333734/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 333734,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/333734/?format=api",
"text_counter": 242,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Midiwo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 184,
"legal_name": "Washington Jakoyo Midiwo",
"slug": "jakoyo-midiwo"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, wengine wetu tulisema kuwa Shule ya Upili ya Maranda isifanywe shule ya kitaifa kwa sababu sasa ni hawa ndio wanakuja huko na watu wetu hawapati nafasi ya kutosha. Ukienda Maranda sasa utapata watu kutoka Mombasa, North Eastern na Kakamega. Wamechukua nafasi zetu zote. Kwa hivyo,"
}