GET /api/v0.1/hansard/entries/334552/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 334552,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/334552/?format=api",
    "text_counter": 407,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 398,
        "legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
        "slug": "yusuf-hassan-abdi"
    },
    "content": "Asante, Bi Naibu Spika wa Muda. Mimi nasimama kuunga mkono Mswada huu. Hii ni kwa sababu tunavyojua vijana wengi katika nchi yetu wana tatizo la kupata vitambulisho. Kuwa na kura na kupiga kura ni haki katika Katiba yetu. Kwa hivyo, tusiwanyime vijana hawa haki ya kupiga kura. Vitambulisho vilipoletwa hapa Kenya vilikuwa ni kama vitu vinavyotumiwa na wakoloni. Kuna nchi nyingi zilizoendelea duniani ambazo hazitumii vitambulisho. Mtu ana haki ya kupiga kura akiwa ni mzaliwa na ana barua ya kuzaliwa---"
}