GET /api/v0.1/hansard/entries/334558/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 334558,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/334558/?format=api",
"text_counter": 413,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Hassan",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 398,
"legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
"slug": "yusuf-hassan-abdi"
},
"content": "Kwa hivyo, vijana wetu wana haki ya kujiandikisha na kupiga kura kwa sababu wao ni wazaliwa wa nchi hii. Tatizo la kutokuwa na vitambulisho si tatizo lao. Ni tatizo la Serikali ambayo imeshindwa kufanya kazi yake, haswa Wizara inayohusika na usajili wa watu. Kwa hivyo, tusiwaadhibu vijana wetu ambao wana haki ya kushiriki kwenye demokrasia ya nchi yao na kupiga kura."
}