GET /api/v0.1/hansard/entries/334559/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 334559,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/334559/?format=api",
    "text_counter": 414,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 398,
        "legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
        "slug": "yusuf-hassan-abdi"
    },
    "content": "Kuhusu suala la vyama, kama walivyosema hapa wahe.Wabunge ni kweli kwamba kunatatizo. Kama vyama, tumewaandikisha watu wengi sana lakini ukienda kwenye afisi ya usajili wa vyama utaona kwamba ni watu wachache tu waliosajiliwa ilhali ukienda mitaani utaona kwamba kila mtu anabeba kitambulisho cha chama chake. Kwa hivyo ni lazima turekebishe hali hiyo ili vijana wetu waweze kupata haki ya kushiriki kwenye demokrasia na kumiliki demokrasia ya nchi yetu. Hatutaki vijana waachwe nje."
}