GET /api/v0.1/hansard/entries/3346/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 3346,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/3346/?format=api",
    "text_counter": 191,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Nuh",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 114,
        "legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
        "slug": "nuh-abdi"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, naomba kumuuliza Waziri Wa Jinsia na Masuala ya Watoto na Ustawi wa Jamii Swali Maalum lifuatalo. (a) Je, Waziri anaweza kuwasilisha orodha ya wanaofaidika kwa sasa kutokana na mradi wa kuwasaidia mayatima na wawezao kudhuriwa ( Orphans and Vulnerable Children - OVC) katika eneo bunge la Bura? (b) Je, Waziri ana habari kwamba orodha hii sasa imewatenga watu ambao walifaidika kutokana na mradi huu hadi mwezi wa Juni 2011? (c) Kwa nini watu hao wa awali wametengwa sasa, na je, wataorodheshwa lini katika mradi huu?"
}