GET /api/v0.1/hansard/entries/335115/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 335115,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/335115/?format=api",
    "text_counter": 510,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Namwamba",
    "speaker_title": "The Minister for Youth Affairs and Sports",
    "speaker": {
        "id": 108,
        "legal_name": "Ababu Tawfiq Pius Namwamba",
        "slug": "ababu-namwamba"
    },
    "content": " Bi Naibu Spika wa Muda ningependa kumshukuru Mbunge wa Konoin, Gavana mtarajiwa wa Bomet County, mhe. Julius Kones kwa kuleta Mswada huu hapa Bungeni. Kitendo hiki kinadhihirisha kuwa yeye kweli anajali siyo tu maslahi ya Wakenya lakini vile vile maendeleo katika sekta yetu ya viwanda. Imani yangu ni kuwa Mswada huu ukipitishwa na kuwa sheria na kuutekeleza, basi tutaweza kuimarisha hali ya utenda kazi katika viwanda hivi ambavyo hutumia aina hii ya bidhaa. Bi Naibu Spika wa Muda, kwa hayo machache, ninaunga mkono."
}