GET /api/v0.1/hansard/entries/3352/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 3352,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/3352/?format=api",
    "text_counter": 197,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Nuh",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 114,
        "legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
        "slug": "nuh-abdi"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, katika orodha niliyowasilisha kwa Waziri, orodha la walengwa katika kata ya Madogo walikuwa 213, na kati ya hao, 150 walilipwa pesa hizo mwezi wa Aprili na mwezi wa sita. Afisa wa watoto katika Eneo Bunge la Bura alikuwa akitoa fomu ya kuwasajili watu hawa 150. Inadaiwa na wananchi kwamba kati ya wale 150 waliolipwa katika Madogo, na wale 167 katika Kata ya Bura waliwachwa kupewa fomu hizo na afisa wa watoto, akidai kwamba shida iko katika ofisi kuu Nairobi. Kwa hivyo, Waziri anaweza kuwahakikishia wale watu 600 waliolipwa pesa hizi katika Eneo Bunge la Bura, 150, Madogo na wale wa Bura wote, wako katika orodha na hawataachwa nje?"
}