GET /api/v0.1/hansard/entries/3353/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 3353,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/3353/?format=api",
    "text_counter": 198,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, watu walioorodheshwa wakati wa usajili wa kwanza katika kata ya Madogo walikuwa 213, lakini waliolipwa kutegemea pesa ambazo zilipatikana walikuwa 150. Katika Bura, walioandikishwa walikuwa 314, katika kata hiyo waliolipwa walikuwa 213. Ningetaka kutaja kwamba ijapokuwa watu wote Bura waliosajiliwa mara ya kwanza walikuwa 854; pesa zilizopatikana---"
}