GET /api/v0.1/hansard/entries/3363/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 3363,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/3363/?format=api",
    "text_counter": 208,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Nuh",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 114,
        "legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
        "slug": "nuh-abdi"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, kati ya majina niliyowasilisha kwa Waziri, kuna watu wanne ambao alisema hawakuwa wameorodheshwa katika walengwa; hao ni Abdiya Mohammed Issak, Fatuma Dalgale Deko, Abdikadir Burale na Maimuna Guresha Dugo. Ikiwa itabainika kwamba hawa wanne waliwezwa kulipwa mwezi wa nne na mwezi wa sita, Waziri anaweza kuwahakikishia kwamba pia hawatatengwa na watakuwa katika orodha?"
}