GET /api/v0.1/hansard/entries/341699/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 341699,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/341699/?format=api",
    "text_counter": 464,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa hii nafasi ili niungane na wenzangu kutoa shukrani kwa Mhe. Rais kwa ile kazi yote amefanya katika Kenya. Nimefurahia, na hasa natoa shukrani za Wasamburu na Maa community kwake kwa kutupatia nafasi ya kuingia katika Bunge hili; ni nafasi ambayo hatukupata kwa miaka mingi. Uhuru upatikane; tunashukuru sana. Hii ni rekodi ambayo haitasahaulika katika Maa community. Asante."
}