GET /api/v0.1/hansard/entries/341717/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 341717,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/341717/?format=api",
    "text_counter": 482,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kambi",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Medical Services",
    "speaker": {
        "id": 39,
        "legal_name": "Samuel Kazungu Kambi",
        "slug": "samuel-kambi"
    },
    "content": " Asante sana, Bw. Spika kwa kunipatia nafasi mwanzo kukushukuru na kumshukuru Mheshimiwa Rais. Ni mengi yale ambayo ameyafanya. Tukianza kuyasema ninafikiri usiku utaingia lakini watu wa Kaloleni wanamshukuru na wanamuita profesa hasa wa mabarabara kwa sababu walipata mabarabara na maendeleo kwa wakati wake na nchi kwa jumla. Sitasema mengi. Mheshimiwa Rais, tunakuombea maisha marefu na Mungu akubariki."
}