GET /api/v0.1/hansard/entries/341755/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 341755,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/341755/?format=api",
"text_counter": 520,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Joho",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Transport",
"speaker": {
"id": 30,
"legal_name": "Hassan Ali Joho",
"slug": "hassan-joho"
},
"content": " Asante, Mhe Spika kwa nafasi hii muhimu ya kuweza kumuombea na kumshukuru Raisi wetu. Sisi Waswahili husema viongozi ama binadamu hukumbukwa kwa matendo yake. Itaingia katika kumbukumbu za nchi hii kuwa matendo Rais aliyotutendea, hasa wakenya kwa jumla---"
}